, ,

KUKU MWEUSI NA KENGE

200.00 kr

ISBN: 978-9987-686-92-6

Author: Sauda S. Kilumanga

Illustrator:

Category: Children

Age: 3-6 years

Pages: 24

Published: 2004

Material:

Illustrerad: Yes

Language: Swahili

KUKU MWEUSI NA KENGE

Kuku alikuwa akitaga mayai. Lakini kuna aliyekuwa akiyaiba. Hata hivyo, siku za mwizi ni arobaini. Kuku alitumia ujanja na akili kumbaini mwizi huyo na kumuadabisha kwa adhabu ya aina yake. Soma ugundue…

Weight 0.5 kg
Shopping Cart